Mmoja
wa wauzaji wa nguo za mitumba katika soko la Meimoria akiwa amejificha
chini ya meza ya kuuzia nguo kukwepa askari polisi pamoja na maofisa wa
shirika la viwango Tanzania (TBS) wakati wakifanya operesheni ya
kukamata wauzaji wa nguo za ndani. Mwanamke huyo alitoka chini ya meza
baada ya kubembelezwa na wenzake hata hivyo wakati askari polisi
akimtaka kwenda kupanda gari la polisi mwanamke huyo alikimbilia tena
chini ya meza hiyo,askari polisi wakalazimika kumucha.
Askari
polisi wakikusanya nguo za ndani katika soko la Meiomoria wakati wa
operesheni ya kukamata wauzaji wa nduo hizo zilizopigwa marufuku.
Askari
polisi akimsindikiza mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika
mara moja baada ya kukutwa akiuza nguo za ndani zilizopigwa marufuku
katika soko la Meimoria mjini Moshi.
Kilimamnjaro Yetu Blog
0 comments:
Post a Comment