Saturday, 25 January 2014

WAZIRI MAKUFULI AKESHA AKISIMAMIA UJENZI WA DARAJA LA DUMILA, MAGARI YAANZA KUPITA KWENYE DARAJA HILO

 Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu  Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa  baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha  usiku kucha kutengeneza daraja hilo.
 Waziri Magufuli bakitoa maagizo katika daraja hilo.

 


 Magufuli akihimiza kukamilika kwa kazi ya daraja hilo ili magari yaweze kupita.

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment